News and Events

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza sababu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuvipa zabuni ya ujenzi vikosi vyake vya Serikali katika ujenzi wa madarasa kazi ambayo wameifanya kwa ufanisi mkubwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza sababu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuvipa zabuni ya ujenzi vikosi vyake vya Serikali katika ujenzi…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajia kuanza ziara ya Kiserikali katiika Mikoa mitano ya Zanzibar kuanzia Julai 16, 2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajia kuanza ziara ya Kiserikali katiika Mikoa mitano ya Zanzibar kuanzia Julai 16, 2022.

Read More

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amesema kuna umuhimu kwa Viongozi na watendaji wa Serikali kutathmin utekelezaji wa mkakati wa mashirikiano kati ya Serikali na Sekta

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amesema kuna umuhimu kwa Viongozi na watendaji wa Serikali kutathmin utekelezaji wa mkakati wa mashirikiano kati ya Serikali na…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Gen. Jackob John Nkunda aliefika Ikulu kujitambulisha na kumpongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kushika wadhifa huo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Gen. Jackob John Nkunda aliefika Ikulu kujitambulisha na kumpongeza…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa taasisi ya Benjamin Wiliam Mkapa licha ya shughuli zake ambazo zinahitaji nyenzo ili kuyafikia malengo yaliyowekwa bado inahitaji kupata michango kutoka kwa taasisi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa taasisi ya Benjamin Wiliam Mkapa licha ya shughuli zake ambazo zinahitaji nyenzo ili kuyafikia malengo…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali inaaendelea kukamilisha taratibu za muundo na sheria kwa ajili ya kuanzisha Mfuko wa Hijja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali inaaendelea kukamilisha taratibu za muundo na sheria kwa ajili ya kuanzisha Mfuko wa Hijja…

Read More