News and Events

Rais Dk.Mwinyi ameshiriki swala ya Ijumaa Msikiti wa Miembeni Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Mwinyi amejumuika na waumin mbali mbali katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika Msikiti wa Ijumaa Miembeni, Mkoa Mjini…

Read More

Dk. Hussein Mwinyi amesema lugha ya Kiwahili ni daraja linalowaunganisha na kuwaweka pamoja wana Jumuiya Afrika Mashariki.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amesema lugha ya Kiwahili ni daraja linalowaunganisha na kuwaweka pamoja wana Jumuiya Afrika Mashariki.Dk. Mwinyi amesema…

Read More