RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kumuombea Marehemu Machano Mwadini Omar,baada ya kutoa mkono wa pole kwa famalia ya marehemu alipofik
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kumuombea Marehemu Machano Mwadini Omar,baada ya kutoa mkono wa pole kwa famalia ya marehemu alipofika kijiji kwao Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja.