News and Events

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira ya kukifanya kisiwa cha Pemba kuwa eneo la uwekezaji linaanza kufikiwa kwa kuwepo viwanda viwili vikubwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira ya kukifanya kisiwa cha Pemba kuwa eneo la uwekezaji linaanza kufikiwa kwa kuwepo viwanda viwili vikubwa…

Read More

Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa ya maendeleo katika kipindi cha miaka 58 tokea kufuzu kwa Mapinduzi yaliyoongozwa na Jemedari wa Mapinduzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Zanzibar imepiga hatua kubwa ya maendeleo katika kipindi cha miaka 58 tokea kufuzu kwa Mapinduzi yaliyoongozwa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili kisiwani Pemba leo kwa ziara ya kikazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili kisiwani Pemba leo kwa ziara ya kikazi ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za miaka 58 ya Mapinduzi matukufu…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kufanya mazoezi ni kinga muhimu katika kukabiliana na changamoto zinazotokana na sababu za mfumo wa maisha ya binadamu uliopo hivi sasa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kufanya mazoezi ni kinga muhimu katika kukabiliana na changamoto zinazotokana na sababu za mfumo wa maisha…

Read More