RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Mwenyekiti wa Chama cha Mazoezi ya Viungo Zanzibar.(ZABESA), wakishiriki katika Bonaza la Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Mazoezi ya Viungo katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.