News and Events

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya nane imechukua juhudi za makusudi za kuimarisha Mamlaka ya kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya nane imechukua juhudi za makusudi za kuimarisha Mamlaka ya kukuza Uwekezaji Zanzibar…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Haji Mkombe Ame.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu Mzee Haji Mkombe Ame aliyefariki jana na kuzikwa leo huko kijijini…

Read More

Alhaj Dk. Mwinyi amesema ugonjwa wa UVIKO-19 ulioikumba Dunia mbali ya kuathiri kiafya lakini umesababisha matatizo makubwa ya kiuchumi..

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ugonjwa wa UVIKO-19 ulioikumba Dunia mbali ya kuathiri kiafya lakini umesababisha matatizo makubwa ya…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba Serikali anayoiongoza ina lengo la kuhakikisha inajenga uchumi imara utakaoleta maendeleo kwa wananchi wote.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba Serikali anayoiongoza ina lengo la kuhakikisha inajenga uchumi imara utakaoleta maendeleo kwa wananchi…

Read More