News and Events

Dk. Hussein Ali Mwinyi amevinasihi vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuendeleza uadilifu na uwajibikaji wa majukumu yao ya kila siku.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amevinasihi vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuendeleza uadilifu na uwajibikaji wa majukumu yao ya kila…

Read More

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Ibada ya Sala ya Ijumaa, viwanja vya Markas Bungi, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa Kiislamu kwenye Ibada ya Sala ya Ijumaa, viwanja vya Markas Bungi, Wilaya ya Kati…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa jitidaha zake za kuendelea kuziunga mkono nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya dunia kwa jitidaha zake za kuendelea kuziunga mkono nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania.Rais…

Read More