News and Events

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameupongeza ujio pamoja na azma ya Muigizaji Nyota wa Filamu za Kihindi, Sanjay Dutt ya kutaka kuekeza sambamba na kuwa Balozi wa kuitangaza Zanzibar Kiutalii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza ujio pamoja na azma ya Muigizaji Nyota wa Filamu za Kihindi, Sanjay Dutt ya kutaka kuekeza sambamba na…

Read More

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaridhika jinsi Shirika la Kimataifa la ‘Amref Health Africa in Tanzania’ linavyotekeleza vyema miradi yake hapa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaridhika na jinsi Shirika la Kimataifa la ‘Amref Health Africa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Jamhuri ya Ireland nchini Tanzania kwa kuahidi kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Nane

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza utayari wa Jamhuri ya Ireland nchini Tanzania kwa kuahidi kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Nane chini…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Kongamano la Tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma katika Bara la Afrika.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua Kongamano la Tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma katika Bara la Afrika na kueleza kwamba Serikali…

Read More