Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema azma yake ya kuifungua Pemba kiuchumi na kuifanya kuwa kituo mahsusi cha uwekezaji sasa inakaribia na kueleza kuwa hatua za utekelezaji wake zimeanza rasmi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema azma yake ya kuifungua Pemba kiuchumi na kuifanya kuwa kituo mahsusi cha uwekezaji sasa inakaribia na kueleza…
Read More