MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini wakati akiwa katika matembezi
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini wakati akiwa katika matembezi ya Kilimota Tano yalioazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizia kwa mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.