Pemba kuwa Kitovu cha uwekezaji na maendeleo Jumuishi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa dhamira ya Serikali ni kuifanya Pemba kuwa kitovu cha uwekezaji, biashara na maendeleo jumuishi.…

Read More

Zanzibar inajipanga kuendelea kujenga Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kuiifanya kuwa Kituo bora cha Utoaji wa huduma za Usafiri wa Anga

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inajipanga kuendelea kujenga Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kuiifanya kuwa Kituo bora cha Utoaji…

Read More

SMZ imeweka mkazo kuifungua Pemba kiuchumi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali imeweka mkazo maalum wa kuifungua Pemba kiuchumi kupitia ujenzi wa uwanja wa ndege, bandari…

Read More

SMZ kusaidia uanzishwaji wa Mfuko wa Hijja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Waislamu kuzingatia mafunzo yanayotokana na ibada ya Hijja, hususan utii kwa Mwenyezi Mungu, mshikamano,…

Read More