Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Utumishi wa muda mrefu na Utii kwa Idara Maalum za SMZ Lt.Col Khadija Ahmada Rais katika hafla iliyofa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Utumishi wa muda mrefu na Utii kwa Idara Maalum za SMZ Lt.Col Khadija Ahmada katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwenye shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.