Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi wenye sifa za Kipekee Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano w
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi wenye sifa za Kipekee Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar