AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubia Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais ) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, uzinduzi huo uliyofanyika 15-3-2023.