AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban