Foundation ZMBF, Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipeana mkono wa shukurani na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake UWT, CCM Wilaya ya Amani Kichama Bi. Fransisca C. Clement
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ZMBF, Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipeana mkono wa shukurani na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake UWT, CCM Wilaya ya Amani Kichama Bi. Fransisca C. Clement baada ya kupokea kadi ya Jumuiya hiyo walipofika na ujumbe wa kamati ya utekelezaji Ofisini kwake Migombani Mkoa Mjini Magharibi.