KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-Ikulu Zanzibar Ndg.Masoud Hussein Iddi akizungumza na Wakuu wa Idara za Ofisi ya Rais Ikulu, wakati wa hafla ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katika Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu
ALIYEKUWA Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Ikulu Zanzibar Ndg. Mussa Haji Ali akimkabidhi vitendea Kazi Katibu Mkuu Mpya wa Ofisi ya Rais –Ikulu Zanzibar Ndg.Masoud Hussein Iddi (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi hiyo yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais - Ikulu leo 9-8-2022.