Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.H
Makamo Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar alipowasili kitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.