RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Jahazi iliyotolewa na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja , akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Jahazi iliyotolewa na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja , akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud ,wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025, yaliyoadhimishwa Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025, katika viwanja vya Kizimkazi