MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea na kukagua Mali za CCM katika Mkoa wa Ksakazini Unguja
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea na kukagua Mali za CCM katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa ziara yake ya Kichama katika Mkoa huo leo 11-6-2023 na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Said Mohammed Dimwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Mohammed Aboud Mohammed