Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili Pemba
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakati wa mapokezi yake kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi na wanaCCM kisiwani humo kwa kuchaguliwa kwake katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa 10, kushika nafasi hiyo ya juu katika Chama cha Mapinduzi CCM.