Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdaala J
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdaala Juma sadala (Mabodi) katika Ukumbi wa Viongozi (VIP)wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo, alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa tr 8-12 -2022.