Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Prof. Patrick Lumumba baada ya kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Prof. Patrick Lumumba baada ya kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 25-4-2023 na (kulia kwa Rais) Mhe. Stephen Wasira.