MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora. Mama Mariam Mwinyi akimabidhi mmoja wa Wazee wa Tumbatu Sadaka ya Futari Bi.Tabu Kheri Haji .
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora. Mama Mariam Mwinyi akimabidhi mmoja wa Wazee wa Tumbatu Sadaka ya Futari Bi.Tabu Kheri Haji ikiwa ni moja ya vyakula alivyokabidhiwa kwa Wajane Wazee na Wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe Tumbatu Unguja leo 21-4-2022.