MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Uzi Sadaka ya Futari, aliyokabidhi kwa Wazee wa Shehia mbili
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Uzi Sadaka ya Futari, aliyokabidhi kwa Wazee wa Shehia mbili za Uzi na Ngambwa , hafla hiyo iliyofanyika katika Skuli ya Msingi Uzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.