MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilimota 5 yaliyoazia viwanja vya Kinyasini
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilimota 5 yaliyoazia katika viwanja vya Kinyasini na kumalizia katika viwanja vya Mnazi mmoja Wete na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi.Mhe.Hamza Hassan Juma.