MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita 5.

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita 5.5 yalioazia katika eneo la regeza mwendo Kianga na kumalizia katika viwanja vya mpira Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 24-9-2022 kwa mazoezi ya pamoja ya viungo.