MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation(ZMBF) Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa msaada wa Vyakula na Sheikh Ahmad Mohamed Al –Falasi
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa msaada wa Dawa na Sheikh Ahmad Mohamed Al –Falasi Kiongozi wa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al –Falasi,ikiwa ni miongoni mwa vifaa na vyakula vilivyotolewa msaada na Taasisi hiyo kwa ajili ya Wananchi wenye mahitaji maalum,katika kipindi hichi cha kuelekea mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za (ZMBF) Migombani nje kidogo ya mji wa Zanzibar.