Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiagana na Mke wa Makamo wa Kwanza wa Rais Mama Zainab Othman baada ya kumalizika kwa mazoezi ya Viungo yaliyoshirikisha Vikundi mbali mbali vya mazoezi
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiagana na Mke wa Makamo wa Kwanza wa Rais Mama Zainab Othman baada ya kumalizika kwa mazoezi ya Viungo yaliyoshirikisha Vikundi mbali mbali vya mazoezi yaliyoanzia katika Barabara ya Ofisi ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Mazizini hadi Uwanja wa Amaan leo ikiwa ni utekelezaji wake kushiriki mazoezi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.