MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja na Vikundi vya mazoezi katika matembezi yalioazia Mchangamle na kumalizia katika viwanja vya mpira Muyuni C
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja na Vikundi vya mazoezi katika matembezi yalioazia Mchangamle na kumalizia katika viwanja vya mpira Muyuni C kwa mazoezi ya pamoja ya viungo (kushoto kwa Mama) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Bw.Rashid Makame Shamsi (kulia kwa Mama) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais Mama Zainab Kombo Shaib na Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mhe. Marina Thomas.