MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Komputa Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Kidatu cha Nne Zakia Jaffar Hatib, kwa kufaulu Mtihani wake wa Taifa Kidatu cha Nne
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Komputa Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Kidatu cha Nne Zakia Jaffar Hatib, kwa kufaulu Mtihani wake wa Taifa Kidatu cha Nne na kupata Daraja la kwanza hafla ilifanyika Ikulu Zanzibar