MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akinunua Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Unguja Wilaya ya Mjini leo 10-1-2023, kwa mchuuzi Bwa. Khamis Hamad Omar, baada ya kufunguliwa Soko
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akinunua Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Unguja Wilaya ya Mjini leo 10-1-2023, kwa mchuuzi Bwa. Khamis Hamad Omar, baada ya kufunguliwa Soko hili na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.