MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akipokea maandamano ya Wanamichezo wa mchezo wa Netiboli katika Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akipokea maandamano ya Wanamichezo wa mchezo wa Netiboli katika Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 04-01-2023, (kushoto kwake) Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar B.Fatma Hamad Rajab na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma.