Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Ukumbi wa Umoja Ni Nguvu Mkoani Pemba jana kwa jili ya Kugawa vifaa vya Uvuvi kwa vikundi wa ukulima wa Mwani.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Ukumbi wa Umoja Ni Nguvu Mkoani Pemba jana kwa jili ya Kugawa vifaa vya Uvuvi kwa vikundi wa ukulima wa Mwani,katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar,01/01/2023