Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha “Tushirikiane Cooperative"Gombani Chakechake wakati alipoungana na Rais wa Zanz
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha "Tushirikiane Cooperative"Gombani Chakechake wakati alipoungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati walipotembelea maonesho ya wajasiriamali katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba