Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation “ZMBF” (katikati) akipokea hundi ya zaidi ya shilingi za Kitanzania Millioni sitini na tano
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation "ZMBF" (katikati) akipokea hundi ya zaidi ya shilingi za Kitanzania Millioni sitini na tano kutoka kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Taasisi ya ZMBF Ndg,Mwanaidi M.Ali.