Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga, katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo

Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga, katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki.