Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” (wa pili kushoto) akimkabidhi Boti,Mashine,Kamba pamoja na vifaa mbali mbali Katibu
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (wa pili kushoto)akimkabidhi Boti,
mashine,Kamba pamoja na vifaa mbali mbali Katibu wa kikundi cha IPO Sababu -Tumbe Bi.Kaije Said Bakari na Bikombo Rashid Ali (kulia) wakati wa hafla ya ugawaji wa Vifaa mbali mbali vya kilimo cha mwani kwa vikundi vya Wilaya ya Michweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.