Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) , Mama Mariam Mwinyi alipozungumza leo tarehe 06 Disemba 2025, wakati wa Konga
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) , Mama Mariam Mwinyi alipozungumza leo tarehe 06 Disemba 2025, wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia lililoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake (TAWJA) – Zanzibar, katika Ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein, Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja.