Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) mara baada ya kumalizika kwa matembezi kilomita tano yaliyofanyika leo sambamba na mbio Kilomita tano na kumi hafla iliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge, Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar