Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi (kulia) akimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi,(wa pili kulia)
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi (kulia) akimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi,(wa pili kulia) alipokuwa akitoa shukurani baada ya mazungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar.