MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Taasisi hiyo migombani Jijini Zanzibar.