MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali vinavozungumzia Haki za Binadamu na Mratibu Taifa wa Mtandao wa Watete
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali vinavozungumzia Haki za Binadamu na Mratibu Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania Bw. Onesmo, wakati akitembelea maonesho ya uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembe kisonge Wilaya ya Mjini Unguja