RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchini Oman baada ya kumaliza ziara yake ya Siku Tatu Nchini humo.