RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini na Wananchi wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo jana 8-4-2022.