Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini katika Futari maalum aliyowaandalia katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Suza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa baada ya kumalizika kwa Sala ya Magharibi iliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) wakati wa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi huo.