Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Eid Elfity Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Eid Fitry iliyofanyika leo asubuhi katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar.