RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Masheikh wa Zanzibar, baada ya kumaliza Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja, mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar, walipofika kumsalimia leo 3-5-2022.