Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi mgeni rasmin mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar, alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran Zanzibar yaliofanyika katika Masjid hiyo leo 10-4-2022.