RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Msikiti na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo baada ya kuufungua leo 18-11-2022